Miongoni mwa Mazao yanalimwa sana Wilayani Kahama ni Pamba, Mahindi na Tumbaku. Angalia jinsi Uhamisashaji wa Mazao makuu mawili ulivyofanywa ili kuongeza
Ufugaji wa ng'ombe umekuwa ukifanywa tangu enzi za mababu zetu na haiwahi tokea mfugaji kujua kwa nini anafanya ufugaji. Sababu kubwa ni faida ziletwazo na ufugaji
Tumbaku ni zao la kibishara linalolimwa na kuvunwa ili kutengeneza sigara,kwa mkoa shinyanga zao hili linalimwa kwa wingi wilayani kahama mkoa wa shinyanga.Pia nizao linaloongoza kwa mapato wilayani kahama ikifatiwa na madini